![]() ![]() Wanafunzi hawa hutathminiwa kupitia kwa kazi ya darasani na mitihani. Idara hii hufundisha wanafunzi wa shahada za B.A. Idara hii inatambulika kwa ukubwa wake tukizingatia idadi ya wanafunzi na ubora wa kozi zinazofundishwa. Wahadhiri hawa wana ujuzi wa miaka mingi katika maeneo ya utaalamu kama vile: ![]() Idara hii inao wahadhiri kumi na tisa (19) katika mabewa tofauti ya chuo hiki (Bewa Kuu, Mombasa na Nakuru). Idara hii ipo kwenye Barabara ya Makongamano (Conference Road), karibu na Idara ya Fasihi, Lugha na Isimu, ikiwa nyuma ya Kituo cha Biashara na mkabala na kanisa dogo la chuo kikuu. Idara ya Kiswahili na Lugha za Kiafrika ilianzishwa mwaka 1987 wakati Idara ya Isimu na Lugha za Kiafrika ilipogawanywa kuwa Idara tatu ambazo ni: Idara ya Kiswahili na Lugha za Kiafrika, Idara ya Lugha za Kigeni na Idara ya Kiingereza.
0 Comments
Leave a Reply. |